Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Rubuye agrobusiness Co. Ltd Ndugu Gaston Ntamakililo
Mkurugenzi wa Kampuni ya Rubuye Agrobusiness Co Ltd akimkaribisha mgeni rasmi kwenye sherehe ya siku ya wakulima iliyofanyika tarehe 16/5/2015 katika kijiji cha IDOFI Halmashauri ya Mji Makambako |
Mgeni rasmi Mh. Diwani Mara Mgeni Diwani kata ya Mlowa, Halmashauri ya Mji Makambako akihutubia siku ya wakulima iliyofanyika kijiji cha Idofi katika Halmashauri ya Mji Makambako 16/5/2015. |
No comments:
Post a Comment