Monday, May 18, 2015

DC NJOMBE ATEMBELEA MASHAMBA DARASA MAKAMBAKO

Wananchi wa kijiji cha Idofi wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Njombe Sara Dumba(Hayupo Pichani) wakati alipotembelea shamba darasa la Alizeti katika kijiji cha Idofi kilichopo Halmashauri ya Mji wa Makambako wakati wa siku ya Wakulima.

Mkuu wa Wilaya ya Njombe Sara Dumba(Wa pili Kushoto) akipokea maelezo juu ya uzalishaji bora wa mahindi kutoka kwa mtaalamu wa kilimo wa Rubuye Agrobusiness Bwana Boniface Manga(Wa Kwanza Kushoto) katika siku ya wakulima katika shamba darasa la Kiumba lililopo katika Halmashauri ya Mji wa Makambako. 

Mkurugenzi wa Rubuye Agrobusiness Bwana Gaston Ntamakililo (Wa pili kulia) akiwa na Mkuu wa wilaya ya Njombe Sara Dumba wakati wa ibada ya kuombea chakula kwenye siku ya Mkulima katika shamba darasa la Kiumba Makambako.

No comments:

Post a Comment