Monday, May 18, 2015

RC Msangi alipotembelea ghala ya Pembejeo Makambako

Mkuu wa Mkoa wa Njombe Assei Msangi(Kushoto) akizungumza na mkurugenzi Mtendaji wa Rubuye Agrobusiness Bwana Gaston Ntamakililo wakati alipotembelea ghala la pembejeo za kilimo katika makao makuu ya kampuni hiyo Mjini Makambako.

Mkuu wa Mkoa wa Njombe assei Msangi akikagua baadhi ya pembeje za kilimo katika ghala la mbegu linalomilikiwa na Rubuye Agrobusiness katika Mji wa Makambako lililopo katika mtaa wa Mwembetogwa.

No comments:

Post a Comment