Monday, May 18, 2015

DUMBA ATEMBELEA MAONYESHO YA RUBUYE AGROBUSINESS NANENANE MBEYA

Mkuu wa Wilaya ya Njombe Sara dumba akipokea maelekezo kutoka kwa mtaalamu wa kilimo wa Rubuye Agrobusiness katika banda la maonyesho ya siku ya wa kulima duniani Nane Nane katika viwanja vya nanenane jijini Mbeya.

Bi. Apewe Chaula mfanyakazi wa kampuni ya Rubuye Agrobusiness akiwa katika banda la maonyesho la kampuni katika viwanja vya nanenane Jijini Mbeya lililoandaliwa na wataalamu kutoka Halmashauri ya Mji wa Makambako.

No comments:

Post a Comment