Monday, May 18, 2015

BAADHI YA MATUKIO YALIYOFANYWA NA RUBUYE AGROBUSINESS CO. LTD

Mkurugenzi mtendaji wa Rubuye Agrobusiness Bwana Gaston Ntamakililo akiwa ofisini kwake akipitia taarifa mbalimbali za maendeleo ya kampauni.

Mkurugenzi wa Rubuye Agrobusiness Co Ltd Bwana Gaston Ntamakililo akiwa na mtaalamu wa kilimo wa kampuni Bwana Boniface Manga katika moja ya shamba darasa la mahindi lililopo katika kijiji cha Idofi Halmashauri ya Mji Makambako.

Mkurugenzi Gaston Ntamakililo akiwa ameweka pozi katika shamba la Mahindi la Idofi katika Halmashauri ya Mji wa Makambako.
Bwana Gaston Ntamakililo akiwapa taarifa wazalishaji wa mbegu ya mahindi ya Njano katika shamba darasa lililopo katika kijiji cha Wanging'ombe wilayani Wanging'ombe ambao ni Manop(aliyeshika jani la mhindi) na Mr. Song(Mwenye shati la miraba).    

Mr. Song(Kulia) akibadilishana mawazo na mtaalamu wa kilimo wa Rubuye Agrobusiness Bwana Boniface Manga katika shamba darasa la Wanging'ombe.

No comments:

Post a Comment